Ukurasa wa mbele
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail

 


CNN
TBN
BBC
Times
Islamtz.org
Winners
Maranatha
Intergrity

China Today

Japan Times

Korea Online

China Site

China Maps

USA Today

Google Seach

China English

Gv China

China view

China news

China
Natinal
News

China Tech

India News

India Times

India Daily

Gospel of
Jesus

USA Gospel

Gospel
Church

Dubai news

Africa News

Gospel Music

US VISSA

BBC
Bush
Curches
Gospeltv
munishi
Mkapa
usgospel
Times
GTV
GTVGOSPEL
Jesus
God
Faith
Life
Kenya
Tanzania
Uganda
Africa
Japan
Toyota
China
Korea
India
Nation
News
Online
Nyerere
Kibaki
Museveni
Mugabe
KOFFI ANNAN
Nairobi
Dar
Goverments

gospel TV

gospelradio

Gospel radio

gospelnews

Gospel news


GOSPEL
GTV.COM


TV ya INJILI
Kwenye Internet
-
WWW.GOSPELGTV.COM

Tel. 254722602445 E-mail:
munishi@munishi.com or info@munishi.com

Back to School But...

Anaitwa Ruth Wanjiru. Anamlilia mama asimwache Shuleni. Mpiga picha BONIFACE MWANGI alipokuwa katika ziara ya shule za Nairobi, alimkuta Ruth akijigaragaza chini akilia.Kwake, ni nani kama mama? Japo jina la Shule ni GLAD TOTO NURSERY SCHOOL, ikimaanisha toto lenye furaha, Wanjiru alionekana kutokuwa na furaha siku yake ya kwanza Shuleni hapo. Sababu ni kwamba kuna watu walioamua kumtoa nyumbani na kumpeleka shuleni bila matakwa yake. Haijalishi wazazi wanapenda kiasi gani watoto wao waende shule, Lakini kama watoto wenyewe hawajui maana ya shule, watakuwepo kuwaridhisha wazazi, na elimu ya kweli wataipata watakapohitaji au watakapolazimishwa na hali ya maisha. Je tuwaache watoto mpaka watakapoiona maana ya elimu ndipo tuwapeleke Shule?

Pengine Ruth anawahurumia wazazi
Kusomesha ndio mzigo mkubwa kwa kila mzazi Kenya. Wavulana kwa wasichana siku hizi Shule ni lazima. Utamaduni wa kuwaona wasichana wanatosheka na urembo na siyo elimu, unaendelea kufutika kwenye mawazo ya baadhi ya watu. Lakini asilimia kubwa ya wasichana bado wanaamini hivyo. Lazima jitiada kubwa zifanywe kuwaelimisha wasichana wenyewe umuhimu wa elimu. Shule za wasichana zinaongoza kwa gharama wazazi wanazolazimika kugharamia vitu vya anasa ambavyo wasichana huona ni muhimu kuwa navyo. Tofauti na shule za wavulana, kuelimisha msichana inagharimu zaidi, lakini matokeo ya mitihani wasichana hufanya vizuri zaidi kwenye shule za msingi kuliko sekondari. Wengi wanasema kwamba wakiwa sekondari ndipo hujitambua kwamba wao ni wanawake, na huanza kufanya vitu vya kike zaidi ya elimu. Matokeo ni kuanza kubana sketi za shule zishike mwili kabisa, na wengine huanza kupoteza muda kujiremba badala ya kuzingatia masomo. Hali ikiwa hivyo, hatuwezi kabisa kuwapinga mababu waliotambua jukumu la wanawake katika jamii.Kila tunapojaribu kupingana na maoni ya wazee wa kale, wanawake wenyewe wanafanya vitu kuonyesha wazee walikuwa sawa.


 
| http://munishi.com |