Ukurasa wa mbele
Soma barua Yahoo
Soma barua Hotmail

 


CNN
TBN
BBC
Times
Islamtz.org
Winners
Maranatha
Intergrity

China Today

Japan Times

Korea Online

China Site

China Maps

USA Today

Google Seach

China English

Gv China

China view

China news

China
Natinal
News

China Tech

India News

India Times

India Daily

Gospel of
Jesus

USA Gospel

Gospel
Church

Dubai news

Africa News

Gospel Music

US VISSA

BBC
Bush
Curches
Gospeltv
munishi
Mkapa
usgospel
Times
GTV
GTVGOSPEL
Jesus
God
Faith
Life
Kenya
Tanzania
Uganda
Africa
Japan
Toyota
China
Korea
India
Nation
News
Online
Nyerere
Kibaki
Museveni
Mugabe
KOFFI ANNAN
Nairobi
Dar
Goverments

gospel TV

gospelradio

Gospel radio

gospelnews

Gospel news


GOSPEL
GTV.COM


TV ya INJILI
Kwenye Internet
-
WWW.GOSPELGTV.COM

Tel. 254722602445 E-mail:
munishi@munishi.com or info@munishi.com

Mchungaji Alaani Mauaji Zanzibar

Mchungaji Mmasi wa TAG Kibosho Moshi nchini Tanzania, Amelaani vikali mauaji ya kisiasa yaliyofanyika Zanzibar hivi karibuni. Akiongea na GOSPELGTV mjini Nairobi, Mchungaji Mmasi alisema kwamba serikali ina mkono mrefu, lakini mkono huo unapotumika kuwanyamazisha wapinzani kwa gharama yeyote, hapo ndipo serikali inapokosea. Aliitaka Serikali ya CCM ijue kwamba mkono wa Mungu ni mrefu kuliko wa serikali.

Mchungaji Mmasi akiwa katika Studio za GOSPELGTV.COM jijini Nairobi. Alitutembelea akitokea safarini Mombasa ambako alialikwa kuhubiri.
(Picha na Faustin Munishi)

Nchini Tanzania Wanaopinga CCM chama kinachotawala kwa mabavu, Wanauawa.


Chuki ambayo Serikali ya CCM inaipanda mioyoni mwa Watanzania, siku moja watavuna matunda yake. Mkapa anamaliza muda wake vibaya. Asifikiri wale anaowatesa akiwa madarakani, watamwacha aishi salama wakati atakapoachia madaraka. Pesa alizowaibia Watanzania zitakuwa chungu kila senti. Inashangaza Amerika wanamsakama Saddam Hussein na wanamwacha Mkapa awaue Watanzania apendavyo. Mungu atatulipizia kisasi.

Chuo Kikuu wasema 'NO' kwa CCM

(Picha na Mroki Mroki)
Wanachuo wa Chuo Kikuu Dar es Salaam UDSM wakiandamana Dar kupinga sera za Serikali ya CCM.
Wanaitaka Serikali kupitia bodi ya udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu HESBL, Kuwalipa haraka pesa zao za kujikimu.Walidai hiyo ni haki yao na hawaoni sababu ya Serikali kutumia pesa za walipa kodi kufanyia kampeni za CCM, huku wanafunzi na wananchi wakishindwa kujikimu kimaisha.Walisema Tanzania siyo mali ya CCM na TRA, bali ni ya Watanzania wote na wanachuo wakiwemo. Waliongeza kwamba hawaoni sababu ya kuirudisha CCM madarakani ikiwa mbinu zao ni kuitumia TRA kama silaha ya kuwatisha wananchi ili iwaibie mali zao. Walisema kwamba wanafunzi na wananchi wamekondeana kwa njaa, huku viongozi wa CCM na wafanyikazi wa TRA wakivimbisha matumbo kwa pesa za umma. Walionya kwamba wizi huu wa mchana lazima ukome.

CCM imepandikiza woga kwa Watanzania

Tembelea Tanzania mara ya kwanza, Ukutane na nyuso zilizokata tamaa. Ni Watanzania ndani ya nchi yao, Lakini nyuso zinaonyesha kwamba ni watumwa. Hawana hakika na maisha ya sasa wachilia mbali yale ya usoni. Wanafanya kazi lakini matunda hawayaoni. Serikali inawanyanganya pesa kila iitwapo leo. Hakuna aliye salama labda awe mfanyikazi wa serikali, tena katika mamlaka ya ushuru (TRA). Au kiongozi wa CCM, Au idara ya mambo ya ndani kisha awe afisa usalama wa Taifa. Hao nyuso na matumbo yao makubwa, yanaonyesha kwamba hao ndio wenye nchi ya Tanzania. Bila kuwasahau Polisi hasa wale wa usalama barabarani na wenzao wa idara ya upelelezi. Kifupi niseme kwamba wafanyikazi karibu wote serikalini ndio wanaoonekana kwamba Tanzania ni mali yao.

Wengine wote wana nyuso chakavu, ambazo hazina matumaini ya baadae. Wanaonekana watumwa ambao hawaijui siku ya UHURU wao.Ukikosea uwaambie CCM ni mbaya, watakujibu tunajua lakini la kufanya ni lipi? Wamekata tamaa na wameamua kunyamaza kuepuka shari za CCM. Nani aipinge CCM Tanzania abaki salama? Wafanyibiashara ndio kabisa wanaimba wimbo usiowahusu. Lazima waisifu CCM la sivyo wanyanganywe leseni zao za biashara. Wengine wakigunduliwa kwamba wana mawazo ya kujaribu kuipinga CCM, wanatumiwa vijana kutoka idara ya ushuru TRA , na kuandikiwa kodi za kiajabu. Kabla wajue nini kinachoendelea, wanazikuta biashara zao zikipigiwa mnada, na wanarudishwa kwenye dimbwi la umasikini.

Ukiwaangalia kwa karibu unaiona chuki ya CCM ndani yao, lakini ni sawa na mfungwa anayemchukia askari magereza lakini hawezi kumfanya lolote. Ukiwaambia tuchukue hatua japo ya kupiga kelele, Watakuambia wanaogopa kusumbuliwa, wakati wamesumbuka tayari. Kwamba wameufikia uamuzi huo haishangazi kwani hata wewe ukiishi Tanzania, mwisho utaufikia uamuzi unaofanana nao labda uwe unapenda kuliona kaburi mapema baada ya kutoka gerezani.Lakini kuna tofauti gani ya gereza na kuishi Tanzania ambayo huruhusiwi kutoa mawazo yako? Munishi nilipoimba kwamba CCM alianzisha Nyerere na sasa imezeeka, Tena nikasema kwamba sera za ujamaa ziliiharibu Tanzania, Serikali na vyombo vyote vya dola viliwasakama wote waliokamatwa na kanda hiyo. Hawataki Munishi atoe mawazo yake, lakini wanatudanganya uchaguzi utakuwa huru na haki. Ikiwa nchi ni ya vyama vingi, na CCM hawataki Munishi aseme jinsi wao CCM walivyoharibu nchi, je wakisema wao tu halafu watuburuze kwenye uchaguzi, Uchaguzi huo utakuwa huru?

Ndio maana nawaagiza Watanzania waususie uchaguzi. Hatuwezi kuchaguana katika mazingara ambayo CCM wezi wa mali ya Umma ndio wanaosema, kisha wanatumia pesa za walipa kodi kuwanunua walipa kodi waliofanywa masikini na hao hao CCM, halafu tutegemee uchaguzi huru. Haiwezekani. Ni sawa na kwenda mwezini kwa miguu. Wengi tunajiuliza hali hii itaendelea mpaka lini? Kwamba wanafunzi wa chuo kikuu Dar Es Salaam wameliona hilo, hiyo ni hatua nzuri kuelekea pazuri.


Chuki ambayo Serikali ya CCM inaipanda mioyoni mwa Watanzania, siku moja watavuna matunda yake. Mkapa anamaliza muda wake vibaya. Asifikiri wale anaowatesa akiwa madarakani, watamwacha aishi salama wakati atakapoachia madaraka. Pesa alizowaibia Watanzania zitakuwa chungu kila senti. Inashangaza Amerika wanamsakama Saddam Hussein na wanamwacha Mkapa awaue Watanzania apendavyo. Mungu atatulipizia kisasi.


Askari Polisi akiwasimamisha waandamanaji wanaoipinga CCM


Maofisa waku katika jeshi la POLISI wakipanga mbinu za kuwashambulia waandamanaji wanaoipinga CCM. Wanadai wana amri kutoka juu inayowaruhusu hata kuua wapinzani wa CCM





Askari wa Tanzania tayari kuua watanzania wenzao kwa sababu za kisiasa. Ni aibu kubwa kuwaona Watanzania wakichinjana kwa sababu ya CCM. Kwa sasa CCM wana silaha zote kufanya hivyo, lakini wananchi wanaoonewa iko siku watalipiza kisasi.

Chuki ambayo Serikali ya CCM inayoongozwa na Mkapa inaipanda kwa watanzania, siku moja watavuna matunda yake.

 
| http://munishi.com |